MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 26 2023 amehutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unaofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umehudhuriwa na Wakuu na Viongozi kutoka nchi mbalimbali Afrika.

swSwahili
X