Kwa niaba ya AICC,jiji la Arusha na Tanzania kwa ujumla,naomba kuwakaribisha kuja na kujionea upekee wa kituo chetu,jiji letu na nchi yetu.
Huduma Zetu
Huduma za Mikutano
Conferences&Exhibitions facilities
Miliki na Nyumba
Nafasi za Ofisi na Nyumba za kuishi
Huduma za Hospitali
Hospitali ya AICC
Utalii wa Kibiashara
Arusha ni moyo wa utalii.
Taarifa Kwa Umma
Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi – 2022/2023.
Sasa Pakua nakala ya Jarida la Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi - 2022/2023.
Bajeti ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
RASIMU YA AICC KATIKA HOTUBA YA BAJETI 2023 Na Freddy Maro Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Dkt.Stergomena Tax amesema mpango mkakati wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha wa kujenga kituo kikubwa zaidi cha kisasa cha mikutano...
Mkutano Mkuu wa 28 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Dkt Philip Mpango afungua rasmi Mkutano Mkuu wa 28 wa Wanahisa wa Bank ya CRDB leo tarehe 19 Mei,2023 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha. Katika hotuba yake Dkt. Mpango ameitaka Benki ya CRDB kuendelea...
AICC’s proposal on restructuring the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
AICC Managing Director Mr Ephraim Mafuru presents the Centre's proposal on restructuring the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation to the Special Presidential Committee.The Committee visited the Center to collect views on how could AICC play a more...
TANGANYIKA LAW SOCIETY ANNUAL CONFERENCE
AICC Managing Director Mr Ephraim Mafuru welcomes the Vice President Hon.Dr.Philip Isdor Mpango to officiate at the opening ceremony of Tanganyika Law Society 2023 Annual General Meeting held at Simba Plenary Hall,AICC Arusha.
EID MUBARAK
Upcoming Events at AICC & JNICC
june
july
september
october
Meetings Served at AICC & JNICC
Meetings served 2020/2021
Delegates served 2020/2021
%
Local Meetings
%
Delegates served at AICC
%
International Meetings
%
Delegates served at JNICC
Can we help you with your event?
Are you interested in the services on offer at AICC and JNICC? Email marketing@aicc.co.tz , use our hot-line number +255 (0)628860403, or click the button below.