Arusha International Conference Centre
Blogu ya Matukio
AICC INATHAMINI USHIRIKI WA WATUMISHI WAKE KATIKA MICHEZO

AICC INATHAMINI USHIRIKI WA WATUMISHI WAKE KATIKA MICHEZO

Mkurugenzi mkuu wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha AICC Bwana Ephraim Mafuru amesema michezo mahali pa kazi ina umuhimu mkubwa kwasababu inasaidia kuimarisha afya ya mwili na akili kwa wafanyakazi na inawapatia fursa ya kujenga mahusiano mema na wenzao kutoka...

Mageuzi ya sekta ya posta ya Afrika

Mageuzi ya sekta ya posta ya Afrika

Leo Agosti 23,2023 umefanyika ufunguzi wa Mkutano wenye lengo la kuhamasisha Mageuzi ya sekta ya posta ya Afrika ilikuimarisha uchumi wa Kidijitali.Mkutano huo umefanyika katika Ukimbi wa Simba uliopo katika Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha(AICC) Mkutano...

swSwahili
X