Author: Beatha Hyera
-
AICC TANO (5) BORA MASHIRIKA YA UMMA
AICC tano bora ( 5 ), mashirika yenye ufanisi , matumizi na mapato na rejesho la mtaji. Katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu ameipongeza AICC kwa kuwa miongoni mwa mashirika matano bora nchini kwa ufanisi, matumizi bora ya rasilimali na mapato yenye…
-
WAZIRI MKUU AMPONGEZA MKURUGENZI MKUU WA AICC
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa ampongeza Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Bi.Christine Mwakatobe kwa kutoa huduma bora za kumbi za mikutano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri Mkuu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato…
-
AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM (SABASABA 2025)
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kimepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2025) yanayofanyika kwenye viwanja vya sabasaba, jijini Dar es Salaam na kuelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kituo ikiwemo utalii wa mikutano, upangishaji wa nyumba na ofisi pamoja na huduma za hospitali.…
-
AICC PARTICIPATES IN DODOMA PUBLIC SERVICE WEEK 2025
The Arusha International Conference Centre (AICC) is participating in the Public Service Week 2025 exhibition that is ongoing in Dodoma at the Chinangali grounds from June 16 to 23, 2025. In the exhibition, AICC participates with institutions under the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, including the Dr. Salim Ahmed International Relations Centre…
-
INDUCTION COURSE FOR NEW AICC EMPLOYEES
Induction course for new employees of the Arusha International Conference Centre (AICC), aimed at building their capacity to work as civil servants by adhering to laws, procedures, regulations, and guidelines, held from May 13th-15th , 2025 at the Centre here in Arusha. The course is conducted by Tanzania Public Service Collage (TPSC).
-
-
-
-
-