AICC kushiriki katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa jijini Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji wa AICC Bi.Christine Mwakatobe akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi muda mfupi baada ya kushiriki katika maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.

#webringtheworldtotanzania
#mayday

Facebook
X
LinkedIn

Event Booking Request