Salamu za Pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa AICC inatoa pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa kufuatilia kifo chake.

AICC itamkumbuka Mh. Lowassa kwa Mchango wake mkubwa alipokuwa Mkurugenzi mtendaji.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.

Facebook
X
LinkedIn

Event Booking Request