News
Maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mount Kilimanjaro (MKICC) jijini Arush
Details
Ndugu Charles Ngeleja Kadonya - Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki leo 14 Oktoba 2026 ametembelea mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mount Kilimanjaro (MKICC) jijini Arusha.
Ndugu Kadonya amepokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha (AICC) Bi. Christine Mwakatobe kwenye mradi huo iii aweze kuona maendeleo ya ujenzi huo.
MKICC ni kituo kinachonjengwa na AICC na kinatarajiwa kubadili manthari ya utalii wa mikutano nchini Tanzania na Barani Afrika kwa ujumla.
Published Date:
October 14, 2026