News
SALAMU ZA POLE
Details
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na
Watumishi wa Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano Arusha (AICC) tunatoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mwenza wake Mhe. Hafidh Ameir Hassan.
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hizo, Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi. Amina
Published Date:
September 07, 2026