News
Pongezi - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Details
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) tunakupongeza Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Published Date:
August 29, 2026