News
Maonesho Ya Nanenane (Nzunguni Dodoma)
Details
Kituo cha kimataifa cha Mikutano Arusha kinakurabisha katika maonesho ya nanenane yatakayofanyika katika viwanja vya Nzunguni Dodoma.
Maonesho haya yanatarajiwa kufanyika kuanzia Tarhe 1 hadi Tarehe 8 mwezi wa 8 2026.
Published Date:
July 30, 2026