Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya AICC na Menejimenti baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kwanza katika kituo hicho jijini Arusha.
Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (seated middle) in a group photo with AICC Board Members and Management team after wrapping up the Annual General Meeting at the AICC Headquarters in Arusha.