Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC mara baada ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 katika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha.
Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (centre) sharing a light moment with the AICC Board Members shortly after close of the tAnnual General Meeting held on 26 August 2025 at the AICC Headquarters in Arusha city.