NAIBU WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA AGRF 2023

NAIBU WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA AGRF 2023

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehutubia katika Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF 2023). Dkt. Biteko amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA AFRIKA-AGRF 2023

RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA AFRIKA-AGRF 2023

Mkutano wa Marais na Wakuu wa Nchi uliyojumuisha Marais mbalimbali kutoka Afrika na viongozi kutoka Tanzania, Afrika na kwengine duniani pamoja na wadau wa mifumo ya chakula. Mkutano huo umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC)...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA VIJANA -AGRF 2023

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA VIJANA -AGRF 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipata nafasi ya kuzungumza na vijana kwenye mjadala wa masuala ya Kilimo na Vijana wakati wa mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha...
en_USEnglish
X