WAZIRI MKUU AMPONGEZA MKURUGENZI MKUU WA AICC

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa ampongeza Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Bi.Christine Mwakatobe kwa kutoa huduma bora za kumbi za mikutano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri Mkuu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa Mwaka wa Fedha 2024/20025 kilichofanyika katika Ukumbi wa Simba AICC, jijini Arusha tJulai 8, 2025. Uongozi wa AICC unaendelea kufanya mageuzi makubwa ya kutoa huduma zenye viwango vya kimataifa ili kukidhi mahitaji ya stahiki katika sekta ya utalii wa mikutano. Hatua zinazochukuliwa ni pamoja na ukarabati wa kumbi za mikutano, kufunga vifaa vya kisasa vya TEHAMA, vifaa vya kutafsiri lugha mbalimbali na kutumia watumishi wa AICC waliobobea katika utalii wa mikutano.
AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM (SABASABA 2025)

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kimepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2025) yanayofanyika kwenye viwanja vya sabasaba, jijini Dar es Salaam na kuelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kituo ikiwemo utalii wa mikutano, upangishaji wa nyumba na ofisi pamoja na huduma za hospitali. Maonesho hayo yaliyoanza tarehe 28 Juni 2025 yalifunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman Afunga Mkutano wa ASSA jijini Arusha

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amefunga rasmi Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika, leo Julai 11, 2025 unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha. Mkutano huo wa siku 2 ulifunguliwa rasmi jana Julai 10, 2025 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango
AICC PARTICIPATES IN DODOMA PUBLIC SERVICE WEEK 2025

The Arusha International Conference Centre (AICC) is participating in the Public Service Week 2025 exhibition that is ongoing in Dodoma at the Chinangali grounds from June 16 to 23, 2025. In the exhibition, AICC participates with institutions under the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, including the Dr. Salim Ahmed International Relations Centre (Centre for Foreign Relations) and African Peer Review Mechanism (APRM) to educate, promote and showcase the services offered by the Ministry and its institutions. It should be noted that, AICC is the only centre in Tanzania that focuses on providing conference tourism services, renting houses and offices as well as its existing hospital in Arusha.
INDUCTION COURSE FOR NEW AICC EMPLOYEES

Induction course for new employees of the Arusha International Conference Centre (AICC), aimed at building their capacity to work as civil servants by adhering to laws, procedures, regulations, and guidelines, held from May 13th-15th , 2025 at the Centre here in Arusha. The course is conducted by Tanzania Public Service Collage (TPSC).
AICC BEST WORKERS

UNION DAY

QUALITY POLICY

VETA 30TH ANNIVERSARY

UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MIKUTANO-MKICC
