Baraza la Eid lafanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)

Baraza la Eid limefanyika leo tarehe 10 Aprili 2024 kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Facebook
X
LinkedIn

Event Booking Request