Author: AICC
-
Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa AICC wakifuatilia kwa karibu kukao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha.
Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa AICC wakifuatilia kwa karibu kukao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha. The AICC’s First Annual General Meeting participants following up the session during that meeting held at the AICC Headquarters in Arusha city.
-
Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC
Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC mara baada ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 katika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha. Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (centre) sharing a light moment with the AICC Board Members shortly after close of the…
-
Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina.
Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina wakati Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 katika kituo hapo jijini Arusha. AICC Board Chairperson Hon. Amb. Dr.Jilly Maleko (left) presenting the board’s performance report to the Treasury Registrar during…
-
Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya AICC na Menejimenti
Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya AICC na Menejimenti baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kwanza katika kituo hicho jijini Arusha. Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (seated middle) in a group photo with AICC Board Members and Management team after wrapping…
-
-
Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Visits the Arusha International Conference Centre (AICC)
Arusha, 14 August 2025 – The Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Cosato Chumi, today conducted an official visit to the Arusha International Conference Centre (AICC), where he toured various conference facilities, the AICC Hospital, and the Kijenge area (Site E) where the new Mount Kilimanjaro International Conference Centre (MKICC) is…
-
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman Afunga Mkutano wa ASSA jijini Arusha
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amefunga rasmi Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika, leo Julai 11, 2025 unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha. Mkutano huo wa siku 2 ulifunguliwa rasmi jana Julai 10, 2025…