AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM (SABASABA 2025)

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kimepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2025) yanayofanyika kwenye viwanja vya sabasaba, jijini Dar es Salaam na kuelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kituo ikiwemo utalii wa mikutano, upangishaji wa nyumba na ofisi pamoja na huduma za hospitali. Maonesho hayo yaliyoanza tarehe 28 Juni 2025 yalifunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Facebook
X
LinkedIn

Event Booking Request