ZOEZI LA UPIMAJI WA MARADHI YA MOYO

KITUO CHA KIMATAIFA CHA MIKUTANO ARUSHA AICC KWA USHIRIKIANO NA MADKTARI BINGWA KUTOKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MIKOA YA ARUSHA, MANYARA NA KILIMANJARO KUWA KUTAKUWA NA ZOEZI LA UPIMAJI MARADHI YA MOYO LITAKALO FANYIKA KUANZIA TAREHE 11- 17 MACHI 2019 KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA AICC JIJINI ARUSHA.

KARIBUNI KUPIMA AFYA ZETU ILI KUPATA MATIBABU STAHIKI NA USHAURI WA KITAALAMU KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA.

LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MWENDESHAJI AICC

KWA MAWASILIANO ZAIDI

PIGA     0758086834 Ndugu Olosiritore Lengida Katibu Kamati ya Maandalizi

Translate »