TRA MID YEAR REVIEW MEETING AT AICC

Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameanza kikao kazi cha kupitia utendaji kazi wa nusu mwaka 2021/2022 na kupanga mikakati ya utekelezaji wa kipindi kilichobakia katika ukumbi wa AICC, Arusha. Kikao kazi hicho kimeanza leo 13/01/2022 na kitamalizika 17/01/2022

en_USEnglish
X