TATU KUBWA YA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

TATU KUBWA YA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Tatu kubwa za 2023 ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ilifanyika JNICC ambapo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa alipokea taarifa ya vazi la Taifa, taarifa kuhusu Mdundo wa Taifa na Utoaji wa Mikopo (awamu ya II) kwa Wadau wa Sanaa na Utamaduni.

en_USEnglish
X