MKUTANO WA FARAGHA WA VIONGOZI

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wengine wa Serikali kabla ya kufunga Mkutano wa Faragha wa viongozi hao uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha Machi 04, 2023.

swSwahili
X