MIAKA 25 YA EOTF
MIAKA 25 YA EOTF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alishiriki kilele cha sherehe za miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) ambao upo chini ya mama Anna Mkapa wenye lengo la kuwakwamua Wanawake kiuchumi. Sherehe hizo zimefanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere JNICC, Dar es Salaam.

swSwahili
X