JUKWAA LA PILI SEKTA YA MADINI

Maonyesho na jukwaa la pili la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya Madini,yenye kauli mbiu: Ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya Madini kwa kufungamanisha na sekta nyingine kwa Uchumi Imara.
Maonyesho hayo ya siku tatu kuanzia tarehe 15-17 Machi,2023 yanafanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha ( AICC) Arusha.

swSwahili
X