RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA VIJANA -AGRF 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipata nafasi ya kuzungumza na vijana kwenye mjadala wa masuala ya Kilimo na Vijana wakati wa mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

en_USEnglish
X