RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA AFRIKA-AGRF 2023

Mkutano wa Marais na Wakuu wa Nchi uliyojumuisha Marais mbalimbali kutoka Afrika na viongozi kutoka Tanzania, Afrika na kwengine duniani pamoja na wadau wa mifumo ya chakula. Mkutano huo umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) Septemba 7, 2023 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha viongozi hao na kuongea na wadau wa kilimo na chakula Afrika na duniani kwa ujumla.

en_USEnglish
X