Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Wenye Ualbino Tanzania aitembelea AICC

Mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Watu wenye Ualbino Tanzania Bwana Godson Mollel(Kulia) amemtembelea Mkurugenzi Mkuu wa AICC Bwana Ephraim Mafuru ofisini kwake jijini Arusha leo tarehe 27 June 2023.Viongozi hao walijadili masuala ya ushikiano wa kimkakati kati ya taasisi Zao(Photo by Freddy Maro).

en_USEnglish
X