MKUTANO WA 10 WA TRAMPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua rasmi Mkutano wa 10 wa chama cha watunza kumbukumbu TRAMPA leo tarehe 27/11/2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).

en_USEnglish
X