Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanzania TLS

Mkurugenzi Mkuu wa AICC Bw.Ephraim Mafuru akimkaribisha Makamu wa Rais Dkt.Philip Isdor Mpango muda mfupi baada ya kuwasili Ili kufungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanzania TLS uliofanyika katika ukumbi wa Simba AICC jijini Arusha

en_USEnglish
X