Mkutano Mkuu wa 28 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Dkt Philip Mpango afungua rasmi Mkutano Mkuu wa 28 wa Wanahisa wa Bank ya CRDB leo tarehe 19 Mei,2023 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha.

Katika hotuba yake Dkt. Mpango ameitaka Benki ya CRDB kuendelea kuwekeza katika ubunifu wa Vijana hasa wale wenye biashara changa ili kuchochea ukuaji wa ajira nchini.

seminayawanahisa2023

mageuzithabiti

webringtheworldtotanzania

en_USEnglish
X