Mageuzi ya sekta ya posta ya Afrika

Leo Agosti 23,2023 umefanyika ufunguzi wa Mkutano wenye lengo la kuhamasisha Mageuzi ya sekta ya posta ya Afrika ilikuimarisha uchumi wa Kidijitali.
Mkutano huo umefanyika katika Ukimbi wa Simba uliopo katika Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha(AICC) Mkutano unaenda sambamba na ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Shirika la Posta la Umoja wa Afrika unaotarajia kufanyika Septemba 2, 2023 jijini Arusha Ambapo, Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mkutano huo umefunguliwa na Naibu Karibu Mkuu wizara ya habari Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Celestine Kakele.

en_USEnglish
X