THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC mara baada ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika  tarehe 26 Agosti 2025 katika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha. Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (centre) sharing a light moment with the AICC Board Members shortly after close of the tAnnual General Meeting held on 26 August 2025 at the AICC Headquarters in Arusha city.

Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina.

Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina wakati Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 katika kituo hapo jijini Arusha. AICC Board Chairperson Hon. Amb. Dr.Jilly Maleko (left) presenting the board’s performance report to the Treasury Registrar during the  Annual General Meeting held on 26th August 2025 at the AICC Headquarters in Arusha.

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya AICC na Menejimenti

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya AICC na Menejimenti baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kwanza katika kituo hicho jijini Arusha. Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (seated middle) in a group photo with AICC Board Members and Management team  after wrapping up the Annual General Meeting at the AICC Headquarters in Arusha.

Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Visits the Arusha International Conference Centre (AICC)

Arusha, 14 August 2025 – The Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Cosato Chumi, today conducted an official visit to the Arusha International Conference Centre (AICC), where he toured various conference facilities, the AICC Hospital, and the Kijenge area (Site E) where the new Mount Kilimanjaro International Conference Centre (MKICC) is planned to be constructed. Hon. Chumi commended the AICC management for their commendable efforts in upgrading the infrastructure of the conference facilities with modern technology—efforts that are boosting the development of conference tourism in the country. He emphasised that these improvements position Tanzania competitively on the global stage in the meetings and events sector. Highlighting the Centre’s achievements, Hon. Chumi cited the successful hosting of the Energy Summit, which delivered high-quality services at an international standard and contributed to AICC securing more large-scale conference contracts. He stressed the importance of continued investment in Information and Communication Technology (ICT) and skilled professionals to maintain and enhance the Centre’s service quality and operational efficiency. Furthermore, Hon. Chumi encouraged the AICC management to continue fostering teamwork as a key factor in increasing productivity and achieving even greater institutional goals. Additionally, the Deputy Minister praised the AICC Hospital for its excellent services and modern equipment, which have led to its elevation to district-level status, thanks to its outstanding performance in healthcare delivery. Hon. Chumi expressed the Government’s strong confidence in AICC’s capacity to continue advancing the meetings industry and contributing significantly to national economic growth through both domestic and international services.

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman Afunga Mkutano wa ASSA jijini Arusha

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amefunga rasmi Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika, leo Julai 11, 2025 unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha. Mkutano huo wa siku 2 ulifunguliwa rasmi jana Julai 10, 2025 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango

Event Booking Request