AICC YACHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT KITUO CHA AFYA MKONOO – ARUSHA

Mkuu wa kitengo cha mahusiano ya umma cha AICC Bw. Freddy Maro akikabidhi mifuko 50 ya cementi kwa katibu wa Mkoa wa Arusha wa Taasisi ya Kiislamu ya Twariqatul Sheikh Haruna Hussein.

Msaada huo utapelekwa kusaidia ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonoo jijini Arusha.Hafla fupi ya makabidhiano ilifanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha AICC.

en_USEnglish
X