MKUTANO WA SABA WA WADAU WA NSSF

MKUTANO WA SABA WA WADAU WA NSSF
When:
October 18, 2017 – October 19, 2017 all-day
2017-10-18T00:00:00+03:00
2017-10-20T00:00:00+03:00
Where:
AICC - ARUSHA
E African Community Blvd
Arusha
Tanzania
Contact:
NSSF
0800 756773

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lina furaha kutangaza
kufanyika kwa mkutano wa SABA wa Wadau katika Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Tarehe 18 na 19 Mwezi
Oktoba, 2017
Waajiri na Wadau wote ambao wangependa kushiriki katika
mkutano huo wanaombwa kujiandikisha mtandaoni kupitia tovuti
www.nssf.or.tz. Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 10/10/2017. Vile
vile tarehe 17/10/2017 ambayo ni siku moja kabla ya mkutano
itakuwa ni siku ya maandalizi hivyo uandikishaji utaanza saa nne
asubuhi hadi saa kumi jioni katika ukumbi wa AICC Arusha.
Washiriki wote watatumiwa uthibitisho pamoja na namba ya
uandikishwaji kwenye anuani zao za barua pepe. Namba hiyo ya
uandikishwaji ni muhimu kuwa nayo kurahisisha kutambua ushiriki
wako.
Kwa kuzingatia umuhimu wa mkutano huu hakutakuwa na ada ya
na malazi wawapo Arusha. Kwa upande wetu NSSF tutagharamia
vifaa vya mkutano na viburudisho.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Idara ya Masoko na Uhusiano
Kupitia simu ya bure 0800 756773