ZOEZI LA UPIMAJI WA MARADHI YA MOYO

KITUO CHA KIMATAIFA CHA MIKUTANO ARUSHA AICC KWA USHIRIKIANO NA MADKTARI BINGWA KUTOKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MIKOA YA ARUSHA, MANYARA NA KILIMANJARO KUWA KUTAKUWA NA ZOEZI LA UPIMAJI MARADHI YA MOYO LITAKALO FANYIKA KUANZIA TAREHE 11- 17 MACHI 2019 KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA AICC JIJINI ARUSHA. KARIBUNI KUPIMA AFYA ZETU ILI KUPATA MATIBABU STAHIKI NA USHAURI WA KITAALAMU KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA. LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MWENDESHAJI AICC KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA     0758086834 Ndugu Olosiritore Lengida Katibu Kamati ya...

New Vacancies

The Arusha International Conference Centre (AICC) was established under the Public Corporations Act No. 17 of 1969 by a Presidential Order through Government Notice number 115, published on 25th August, 1978. The Centre is wholly owned by the Government of United Republic of Tanzania and operates under the purview of the Ministry of Foreign Affairs and East African Co-operation. The AICC was established to manage and control the Headquarters’ complex of the defunct East African Community in Arusha which belonged to the defunct East African Community.  It also owns Julius Nyerere International Convention Centre as per Arusha International Conference Centre (Amendment) Order of 2014, dated 19th March, 2014; and provide facilities and services on the complex for purposes of conferences, meetings, seminars etc. The Centre invites applications from suitably qualified Tanzanians to fill in the below mentioned vacant post:- Please Open the link below for more information. VACANCY -ADMINISTRATIVE OFFICER AND NURSES – 28 12 2018...